Hongera Hongera
Tunatoa pongezi za dhati kwa viongozi wafuatao walioteuliwa na
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:
Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima
Kwa kuteuliwa kuwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum.
Mhe. Maryprisca Mahundi
Kwa kuteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum.
Hongereni sana kwa kuaminiwa kutumikia taifa katika nafasi hizi muhimu.
#cdtirungemba #rungembacdti